Share

Darassa Live on Mziiki

Share This:

Kwa wale ambao walikosa fursa ya kuhudhuria tamasha iliyofanyika kupitia channel ya YouTube @Mziiki, tunakupa nafasi ya kutazama tena. @darassacmg aliweza kutupa burudani tele na kuimba nyimbo mbali mbali kama vile, _Shika Kamata, I like It, Chanda Chema, Yumba_ na Zinginezo

Leave a Comment