Share

Darassa Live on Mziiki! Jumamosi 25 Aprili @ 10pm!

Share This:

#live #livestreaming #youtubelive
Shariff Thabee AKA Darasaa, ni msanii kutoka nchini Tanzania ambaye anafanya muziki aina ya Bongo Flava, na ni Mkurugenzi Mkuu wa Classic Music Group (CMG) ambayo inazidi kusifika Afrika Mashariki. Darassa ameweza kuzindua album kadhaa moja yake ikiwa Two Legends One Album, ambayo ilifanya vizuri zaidi kwenye tasnia ya muziki.

Performance by: Darassa (@darassacmg255)
Licensed to: Ziiki Media Ltd.
YouTube by: Mziiki
Follow us on Facebook @Mziiki, Twitter @Mziiki & Instagram @Mziiki

Leave a Comment